Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Abu-Yusuf al-Muhajir

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 3

Abu-Yusuf al-Muhajir ni mtaalam wa milipuko wa Tawhid w’al Jihad-Egypt (TWJ-Egypt), kundi la wenye msimamo mkali huko katika Peninsula ya Sinai kati ya 2004-06, na iliyoundwa upya mnamo 2011

Tawhid w’al Jihad nchini Misri ni kundi linaloshirikiana na wamisri na wenye msimamo mkali nje ya Misri wenye maskani huko Peninsula ya Sinai ambayo imejitambulisjha kama itikadi ya jihadi ulimwenguni na kuwalenga raia na serikali inayoamini hawafungamani na sheria ya Kiislamu. . TWJ imeendelea kushirikiana na makundi ya wenye msimamo mkali na watu mbalimbali.

Abu-Yusuf alishiriki katika upangaji shambulio dhidi ya wahanga nchini Misri, ikiwa pamoja na maslahi ya Marekani, ikiwa pamoja na ubalozi wa Marekani