Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Sirajuddin Haqqani

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 10

Kwa sasa Sirajuddin Haqqani anaongoza shughuli za kila siku za mtandao wa Haqqani. Wakati wa mahojiano na mashirika ya habari ya kimarekani, Sirajuddin alikiri kupanga shambulio la Januari 14, 2008 dhidi ya Hoteli ya Serena mjini Kabul ambalo liliua watu sita, kujumuisha raia wa Marekani Thor David Hesla.

Pia Sirajuddin alikiri kupanga jaribio la Aprili 2008 la kumuua rais wa Afghanistan Hamid Karzai. Aliunganisha na kushiriki katika mashambulio ya mpakani dhidi ya Marekani na majeshi ya Muungano nchini Afghanistan. Inaaminika anapatikana katika maeneo ya kikabila ya Kipakistan yanayomilikiwa na serikali kuu.

Wizara ya Mambo ya Nje ilimtambulisha Sirajuddin Haqqani Gaidi wa Ulimwenguni kupitia Hati Maalum 13224 mnamo Machi 2008.

Picha zaidi za

Picha ya Sirajuddin Haqqani
Picha ya Sirajuddin Haqqani