Tendo la Kigaidi
Maelezo juu ya…

Kupigwa mabomu kwa eneo la makazi ya watu

Riyadh, Saudi Arabia | Mei12, 2003

Mei 12, 22003, mabomu manne ya kwenye gari yaliripuka kwenye maeneo tofauti ya makazi mjini Riyadh, Saudi Arabia. Maeneo yaliyolengwa yalikuwa yameajiri na ni makazi ya idadi kubwa ya watu kutoka nchi za magharibi, hasa raia wa Marekani na Uingereza. Kwa jumla, shambulizi liliua zaidi ya watu 20, wakiwemo Wamarekani wanane na kujeruhi karibu watu 200. Shambulizi hilo liliandaliwa na kuratibiwa na al-Qaida.

Mpango wa Tuzo kwa Haki utatoa tuzo zinazofikia Dola milioni Tano kwa taarifa itakayopelekea kuwafikisha mbele ya sheria waliohusika na mashambulizi haya.