Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Ramadan Abdullah Mohammad Shallah

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5

Ramadan Abdullah Mohammad Shallah anatafutwa kwa njama za kuendesha shughuli za Palestinian Islamic Jihad (PIJ), kundi lililoundwa maalumu kwa ugaidi, kupitia mtindo wa harakati za kihalifu kama vile ulipuaji mabomu, mauaji, kupora kwa nguvu na biashara haramu ya mzunguko wa fedha.

Shallah alikuwa mmoja wa wanachama waanzilishi wa PIJ na tangu mwaka 1995 amekuwa katibu mkuu na kiongozi wa kundi, ambalo lina makao yake makuu yapo Damascus, Syria.

Shallah aliorodheshwa kuwa ni “Gaidi Maalum” kwa mujibu wa sheria za Marekani Novemba 27, 1995 na alishtakiwa kwa makosa 53 nchini Marekani katika mahakama ya jimbo, katika wilaya ya kati ya Florida mwaka 2003.

Picha zaidi za

Ramadan Abdullah Mohammad Shallah