Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Mohammed Ali Hamadei

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5

Mohammed Ali Hamadei alishtakiwa kwa kuhusika katika kupanga na kushiriki utekaji nyara wa Juni 14, 1985 wa ndege ya TWA 847. Utekaji nyara ulisababisha mashambulizi kwa abiria kadhaa na wafanyakazi wa ndani ya ndege, na mauaji ya afisa Robert D. Stethem wa jeshi la maji la Marekani.

Mtu aliyetajwa hapo juu ameshtakiwa kwa makosa yafuatayo:

Uharamia wa ndege uko katika mamlaka maalum ya kisheria kuhusu ndege nchini Marekani; ni kinyume cha sheria kuweka vifaa vya uharibifu kwenye ndege; kuwachukua mateka; kushambulia abiria; na kupanga njama.

Picha zaidi

Mohammed Ali Hamadei