Tendo la Kigaidi
Maelezo juu ya…

Ghasia za kupinga mashauriano ya Amani ya Mashariki ya kuanzia

1993-hadi sasa

Tangu kutiwa saini kwa mikataba ya Oslo Septemba 1993, makundi ya kigaidi na watu waliopinga mashauriano ya amani wamefanya mashambulizi huko Gaza, Ukingo wa Magharibi, na Israel. Nia ya mashambulizio haya ilikuwa kuvuruga mashauriano ya amani na kubadili mtizamo wa viongozi wanaohusika nayo.

Mpango wa Tuzo kwa Haki utatoa tuzo zinazofikia Dola milioni Tano kwa taarifa itakayopelekea kuwafikisha mbele ya sheria waliohusika na mashambulizi haya.