Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Mahad Karate

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5

Naibu kiongozi (amir) Mahad Karate, pia anafahamika kama Abdirahman Mohamed Warsame, alitoa mchango muhimu katika Amniyat, tawi la al-Shabaab kuhusika katika mauaji na shambulio la Aprili 2, 2015 katika Chuo Kikuu cha Garissa kilichopolelekea vifo vya watu 150. Tawi la kijasusi la al-Shabaab linahusika katika utekelezaji wa mashambulizi ya kujitoa muhanga na mauaji huko Somalia, Kenya nan chi zingine katika ukanda ambazo zinatoa msaada wa vifaa kwa operesheni za kigaidi za al-Shabaab maeneo yote ya Pembe ya Afrika.

Karate anasadikika kuwa ni wa umri wa miaka ya arobaini hivi.