Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Ma’alim Daud

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5

Ma’alim Daud ni muhusika kwa kupanga, kuajiri, kufunza na kufanya operesheni dhidi ya Serikali ya Somalia na maslahi ya Magharibi.

Daud anazungumza Kiingereza, Kiarabu, na Kisomali. Pia hufahamiaka kwa majina Salad Karate, Daud, Ma’alin Abdirahman, na Abdifatah. Daud anatokea katika ukoo wa Hawiye/Ayr na kimsingi ameishi kanda ya chini ya Shabelle mkoa wa Somalia.