Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Ibrahim al-Banna

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5

Ibrahim al-Banna ni mwanachama wa al-Qaida katika uongozi wa Peninsula ya Arabia/Uarabuni (AQAP) aliwahi kuwa mkuu wa kundi la usalama. Al-Banna alikuwa mwanachama mwanzilishi wa al-qaida katika Peninsula ya Arabia/Uarabuni (AQAP) na ametoa mwongozo wa kijeshi na usalama kwenye uongozi wa al-qaida katika Peninsula ya Arabia/Uarabuni(AQAP).