Tendo la Kigaidi
Maelezo juu ya…

Kupigwa bomu kwa Chuo Kikuu cha Hebrew

Jerusalem | Julai 31, 2002

Julai 31, 2002, bomu lililipuka kwenye mkahawa wa Chuo Kikuu cha Hebrew mjini Jerusalem. Mlipuko uliua watu tisa, wakiwemo Wamarekani watano na kujeruhi wengine 85. Washambuliaji walikuwa wakitekeleza amri ya viongozi wa Hamas, kundi la kipalestina lenye msimamo mkali wa Kiislamu linaloendesha shughuli zake kwenye maeneo ya Wapalestina.

Mpango wa Tuzo kwa Haki utatoa tuzo zinazofikia Dola milioni tano kwa habari zitazopelekea kuwafikisha mbele ya sheria waliohusika na shambulizi hili.