Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Hassan Afgooye

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5

Hassan Afgooye anasimamia mtandano mkubwa wa kifedha ambapo kazi zake huanzia kwenye mashirika bandia ya misaada na kufanya harambee ya fedha hadi kujihusiha na utekaji nyara kusaidia shughuli zote za al-Shabaab. Afgooye anachukuliwa kama kiongozi muhimu katika al-Shabaab na mwandamizi katika muendelezo wa shughuli zake.