Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Aziz Haqqani

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5

Aziz Haqqani mwanachama mwandamizi wa Mtandao wa Haqqani na kaka wa kiongozi wa Mtandao wa Haqqani Sirajuddin Haqqani. Aziz anashiriki kiundani kwenye operesheni za vifaa na maamuzi ya kambi kusaidia kuratibu mashambulizi mpakani dhidi ya Jeshi la Kimataifa na Usalama (ISAF) na Serikali ya Jamuhuri ya Kiislam ya kijeshi ya Afghanistan huko Afghanistan. Zaidi ya hayo, alishiriki kama mtumishi wa msingi (kwa Wahaqqani) kwa operesheni huko Kabul na mashambulizi ya hali ya juu nchini kote.