Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Ahmed Iman Ali

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 3

Mafanikio ya Ahmed Iman Ali ya kuwaajiri wapiganaji na kutafuta fedha kwa ajili ya al-Shabaab, yamempatia heshima na kupanda ndani ya kundi. Iman Ali anafahamika zaidi kwa kuwalenga vijana wa Kikenya kwa kuwasahiri ndani ya al-Shabaab. Wakati kihistoria alijighulisha nchini Kenya, mnamo mwaka 2009 alihamishia kambi yake Somalia ambapo anaongoza kati ya magaidi 300 hadi 500 kutokea Kenya.