Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Ahadon Adak

Zawadi mpaka dola 250,000

Ahadon Adak ni kamanda katika taifa la kupigania uhuru la Moro (MNLF).Mnamo Septemba 29, 2009 katika kisiwa cha Jolo, Ufilipino, MNLF waliweka kifaa chenye mlipuko,walilipua msafara wa magari ya kijeshi. Mlipuko uliua askari wawili wa Jeshi la Marekani na askari wa Jeshi la Ufilipino (AFP), ambao walikuwa sehemu ya ujumbe wa kibinadamu wa kujenga shule katika eneo hilo. Mnamo Mei 21, 2010, Mahakama ya mkoa ya 9 ya Ufilipino ilitoa hati ya kukamatwa kwa Ahadon Adak kwa shambulio hilo.

Picha zaidi za

Philippine Poster - English