Ufadhili wa Ugaidi

Mwaka 2002, Serikali ya Marekani ilizindua kampeni ya tuzo ya kupambana na ufadhili wa ugaidi.

Ugaidi wa kimataifa unafadhiliwa na fedha wanazopelekewa magaidi na vyanzo kutoka kote duniani. Serikali ya Marekani hivi sasa inatoa tuzo ya dola mpaka milioni tano kwa habari itakayopelekea kuvunjwa kwa mfumo unaotumiwa kufadhili taasisi ya kigaidi.

Ili kuona bango lililotayarishwa kwa ajili ya mpango huu, tafadhali chagua picha zifuatazo:

download Stop blood money pdf

Kuangalia mabango

Nyaraka zote za kufunguliwa katika ukurasa huu zinatolewa kwa mfumo wa PDF.  Kuangalia PDF ni lazima uwe na nakala ya Adobe Acrobat Reader.  Unaweza kupata toleo la bure la Adobe kwa kufungua kiungo hiki hapa chini.

Get Adobe Reader