Sera za Usiri

Ilani Kuhusu Sheria ya usiri

Kwa matumizi ya mtandao wetu, habari zinakusanywa kwa malengo ya kitakwimu. Mtandao wa Tuzo kwa Haki unatumia program za kompyuta kuandaa muhtasari wa takwimu kwa ajili ya malengo katika kufanya tathmini kuhusu habari gani ni muhimu sana na zile ambazo zina umuhimu kiasi katika kutambua utaratibu wa kufahamu uwezo au matatizo katika maeneo. Ifuatayo ni aina ya habari ambazo zimekusanywa ulipoutembelea mtandao: jina la mtandao ambao umekufikisha katika mtandao wa Rewards for Justice ( kwa mfano, “aol.com” kama unataka kuingia kupitia mtandao wa America Online) na tarehe na muda ulipoingia katika mtandao wetu. Kama ukichagua kutupatia habari zako binafsi kwa kutumia ujumbe wa barua pepe, tutazitumia tu kujibu barua pepe yako.

Kwa malengo ya usalama wa mtandao na kuhakikisha kwamba huduma hii inaendelea kupatikana kwa watumiaji wote, Mpango wa Tuzo kwa Haki unatumia programu za kompyuta kusimamia matumizi ya mtandao kutambua majaribio ambayo hayakuidhinishwa kuchukua au kubadili habari au vinginevyo kusababisha uharibifu. Majaribio ambayo hayakuidhinishwa kuchukua habari au kubadili habari katika huduma hii yanapingwa vikali na huenda yakapelekea kutolewa adhabu kwa mujibu wa sheria ya mwaka 1986 kuhusu Wizi na Matumizi Mabaya ya kompyuta. Habari hiyo pia huenda ikatumiwa kuidhinisha uchunguzi wa kisheria. Isipokuwa kwa malengo yaliyoelezewa hapo juu, hakuna majaribio mengine yoyote yatakayofanywa kuwatambua watumiaji binafsi au tabia za matumizi yao.

Sheria ya Wizi katika kompyuta na Matumizi mabaya, majaribio ambayo hayakuidhinishwa kuchukua habari na/au kubadili habari kuhusu mitandao hii zinapingwa vikali na zinaweza kupelekea kushtakiwa kwa mujibu wa sheria ya mwaka 1986 kuhusu wizi katika kompyuta na matumizi mabaya na Kipengele 18 U.S.C. 1001 na 1030.

Viungo vya Mitandao mingine

Viunganisho na mitandao ya nje ya Serikali Kuu ya Marekani au matumizi ya kampuni za kibiashara, au majina ya makampuni ndani ya mtandao wa Tuzo kwa Haki ni kwa ajili ya kumrahisishia mtumiaji. Matumizi kama hayo hayahusishi uamuzi rasmi au idhini kutoka Wizara ya Mambo ya Nje au Mpango wa Tuzo kwa Haki kwamtandao wowote wa sekta binafsi, bidhaa au huduma.

Ukusanyaji Takwimu

Tunakusanya habari zifuatazo:

  • Bonyeza- kwenye takwimu
  • HTTP vigezo vya itifaki

Takwimu hizi zitatumiwa kwa malengo yafuatayo:

  • Kukamilisha na kusaidia katika shughuli ya sasa.
  • Mtandao na mfumo wa utawala.
  • Utafiti na maendeleo.

Takwimu hii itatumiwa na Mpango wa Tuzo kwa Haki na mawakala wake.

Maelezo yafuatayo yanatolewa kuelezea kwa nini takwimu hizi zinakusanywa:

Mtandao wetu unakusanya maelezo kuhusiana na habari hii.

Vielelezo

Vielelezo ni teknolojia ambayo inaweza kutumiwa kukupatia wewe habari ambayo imeandaliwa kutoka kwenye mtandao. Kielelezo ni kigezo cha takwimu ambacho mtandao unaweza kukupeleka wewe, ambapo unaweza kuihifadhi kwenye utaratibu wako. Unaweza kujiwekea utaratibu wa kukufahamisha pale utakapopata kielelezo, na kukupa fursa ya kuamua kama unaukubali.

Hatutumii vielelezo vya HTTP.

Muhstasari wa Sera

Sera maalum ni aina fulani ya fomu inayojulikana kama P3P ambayo inatoa muhtasari wa sera hiyo inasemaje kuhusu vielelezo. Kwa vile sera hii haielezei aina yoyote ya vielelezo, hakuna fomu ya kanuni ya msingi kwa sera hii.

Sera inaelezea matumizi ya vielelezo kama vigezo vya takwimu: Vielelezo vya HTTP; ni kundi lolote katika sera hizi. Kigezo cha takwimu hii kinapatikana katika “takwimu za msingi”.

Tathmini ya Sera

Mtandao wa Microsoft 6 utatathimini sera hizi za msingi wakati wowote utakapotumiwa na kielelezo. Hatua ambazo IE itachukua itategemea na kiwango gani cha usiri mtumiaji atachagua katika kifungo chake (cha chini, kati, kati kiasi, au juu; kifungo cha kati ndiyo kitatumika awali. Kwa kuongezea, IE itaangalia iwapo sera ya kielelezo inafikiriwa kuwa inaridhisha au hairidhishi, iwapo kielelezo ni sehemu ya kielelezo au ni kielelezo endelevu, na iwapo kielelezo kinatumiwa na mtu wa kwanza au mtu wa tatu. Sehemu hii itajaribu kutathmini sera ya msingi dhidi ya Microsoft kama ilivyoelezewa katika IE^.

Ilani: tathmini hii hivi sasa ni ya majaribio na isionekane kuwa ni njia mbadala ya majaribio ya mtandao wa kweli.

Sera za kuridhisha: sera hii ya msingi inafikiriwa kuwa inaridhisha kwa mujibu wa kanuni zilizofafanuliwa kwenye Internet Explorer 6. IE6 itakubali vielelezo vilivyoambatana na sera hizi kwa mujibu wa vielelezo vilivyowekwa katika viwango vya juu, kati kiasi, kati na chini.