Tafutwa
Taarifa ambayo inaleta haki...

Abdullah Nowbahar

Mpaka Tuzo ya Dola milioni 2

Abdullah Nowbahar ni mtaalamu wa milipuko wa Hezb-e Islami Gulbuddin (HIG) na mwanachama wa mtandao wa mashamubulizi wa Abdul Saboor. Nowbahar na Saboor walikuwa wahusika wakuu katika shambulio la gari lenye vifaa vya milipuko ya kujitoa mhanga mnamo Septemba 18, 2012 dhidi ya dhidi ya basi lililowabeba wafanyakazi wa kigeni wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kabul, ambapo zaidi ya dazeni ya watu waliuawa.