Likiwa kundi lililoanzishwa miaka ya themanini kama shirika la kigaidi lililoasisi matumizi ya nguvu dhidi ya Wamarekani na mali ya Marekani nchini Saudia, Saudi Hizballah ilihusika na shambulio la bomu la mwaka 1996 dhidi ya jengo la Khobar Towers karibu na Dhahran, Saudia. Shambulio hilo liliwaua wanajeshi 19 wa Marekani na raia mmoja wa Saudia, na kuwajeruhi mamia ya watu kutoka mataifa mbalimbali.
Saudi Hizballah
Mashariki ya Karibu - Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati