Tovuti rasmi ya serikali ya Marekani

Maalim Ayman

Afrika - Chini ya Jangwa la Sahara

Tuzo

Up to $10 million

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Tuzo for Mahakama inatoa dhawabu ya hadi dola milioni 10 kwa habari kuhusu Maalim Ayman, kiongozi wa Jaysh Ayman, kitengo cha al-Shabaab ambacho kimefanya mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya na Somalia. Mnamo Januari 5, 2020, magaidi wa al-Shabaab waliwashambulia wafanyakazi wa Kenya na Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Manda Bay, Kenya, na wakaua marubani wawili wa kandarasi wa Marekani na mtaalamu wa Jeshi la Marekani aliyekuwa mdhibiti wa trafiki wa anga. Mkandarasi wa tatu wa Marekani na wanachama wengine wawili wa huduma ya Marekani walijeruhiwa katika hilo shambulio.

Maalim Ayman alihusika kuandaa shambulio la Januari 2020. Mnamo Novemba 2020, Idara ya Jimbo ilimteua Ayman kama Mteule Maalum wa Kigaidi wa Kimataifa (SDGT) chini ya Agizo la Mtendaji (E.O.) 13224, kama ilivyorekebishwa.

Kituo cha Manda Bay ni kituo cha kijeshi cha Jeshi la Ulinzi la Kenya kinachotumiwa na wanajeshi wa Marekani kutoa mafunzo na usaidizi wa kukabiliana na ugaidi kwa washirika wa Afrika Mashariki, kukabiliana na migogoro, na kulinda maslahi ya Marekani katika eneo hilo.

Mabango

Mahali Kunakohusiana:

Somalia

Jinsia:

Mwanamume

SUBMIT A TIP

Do Your Part. Secure a Safer World.

There are many ways to submit information to Rewards for Justice.

You may choose from multiple platforms and contact us in numerous languages. To process your information efficiently, we ask you to state your information as succinctly as possible, provide your name, location, and preferred language, and upload all relevant files such as photographs, videos, and documents to support your information. An RFJ representative will soon contact you. Please be patient, as RFJ reads every tip we receive.

Please open your Signal app to submit a tip. The number is +1 202 702 7843

Please open your Line app to submit a tip. The number is +1 202 702 7843

Please open your Telegram app to submit a tip. The number is +1 202 702 7843

Please open your Viber app to submit a tip. The number is +1 202 702 7843

Please visit our Tor-based tips-reporting channel at: he5dybnt7sr6cm32xt77pazmtm65flqy6irivtflruqfc5ep7eiodiad.onion

Wasilisha Kidokezi

Fanya Jukumu Lako - Dhamini Ulimwengu Salama Zaidi

Zipo njia nyingi kuwasilisha kidokezo.

Unaweza kuchagua kutoka majukwaa mengi na kuwasiliana nasi katika lugha nyingi.
Kuchakata taarifa yako kwa ufanisi, tunakuomba kusema taarifa zako kwa maneno mafupi na Dhahiri iwezekanavyo, kutoa jina lako, mahali uliko, na lugha unayopendelea, na kupakia faili zote husika kama vile picha, video, na hati kuunga mkono taarifa yako. Mwakilishi wa TKM atawasliana nawe hivi karibuni. Tafadhali uwe na Subira, kwa kuwa TKM husoma kila kidokezo tunachopokea.

Tafadhali fungua programu yako ya Signal ili kuwasilisha kidokezo. Nambari hiyo ni +1 202 718 4649

Tafadhali fungua programu yako ya Line ili kuwasilisha kidokezo. Nambari hiyo ni +1 202 718 4649

Tafadhali fungua programu yako ya Telegram ili kuwasilisha kidokezo. Nambari hiyo ni +1 202 718 4649

Tafadhali fungua programu yako ya Viber ili kuwasilisha kidokezo. Nambari hiyo ni +1 202 718 4649

Tafadhali tembelea idhaa yetu ya kuripotia vidokezo inayotumia mfumo wa TOR katika: he5dybnt7sr6cm32xt77pazmtm65flqy6irivtflruqfc5ep7eiodiad.onion

Skip to content