Hayat Tahrir al-Sham (HTS) ilianzishwa mnamo mwaka 2017 kutokana na muungano kati ya al-Nusrah Front (ANF) na makundi mengine kadha. HTS inadhibiti sehemu ya eneo kaskazini magharibi mwa Syria, ikiwa na lengo la kuuondoa utawala wa Assad wa Syria na badala yake kuweka taifa la Kiislamu la Sunni ili kuendeleza ajenda yake kama mojawapo wa washirika wa al-Qa’ida’s nchini Syria. HTS imeteka nyara raia kadha wa Marekani tangu ianzishwe. HTS ni kundi lenye itikadi kali na ni tofauti na mrengo wa upinzani wa Syria, na lina ushawishi wa viwango mbalimbali juu ya utawala wa ndani na upangaji njama wa nje.
Hayat Tahrir al-Sham (HTS)
Mashariki ya Karibu - Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati