Tovuti rasmi ya serikali ya Marekani

Ali Mohamed Rage

Afrika - Chini ya Jangwa la Sahara

Tuzo

Hadi dola Milioni $5

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Tuzo kwa Mahakama inatoa tuzo ya hadi dola milioni $5 kwa habari kuhusu Ali Mohamed Rage. Rage ni kiongozi mkuu na msemaji mkuu wa al-Shabaab, ambalo ni shirika la Kigaidi la Kigeni lililoteuliwa na Marekani. Rage amehusika na kupanga mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya na Somalia kwa ajili ya kundi hilo. Alikua msemaji mkuu wa al-Shabaab mnamo Mei 2009. Mnamo Agosti 6, 2021, Idara ya Nchi ilimteua kama Gaidi Aliyeteuliwa Maalumu wa Kimataifa (SDGT) chini ya Agizo la Utendaji (E.O.) 13224, kama ilivyorekebishwa.

Picha:

Mabango

Mahali Kunakohusiana:

Somalia

Mahali Kunakojulikana:

Somalia

Tarehe ya Kuzaliwa:

1966

Mahali pa Kuzaliwa:

Wilaya ya Hawlwadag, Mogadishu, Somalia

Utaifa:

Somalia

Jinsia:

Mwanamume

Lakabu/Tahajia Mbadala za Majina:

Ali Mohammed Rage, Ali Dheere, Ali Dhere

SUBMIT A TIP

Do Your Part. Secure a Safer World.

There are many ways to submit information to Rewards for Justice.

You may choose from multiple platforms and contact us in numerous languages. To process your information efficiently, we ask you to state your information as succinctly as possible, provide your name, location, and preferred language, and upload all relevant files such as photographs, videos, and documents to support your information. An RFJ representative will soon contact you. Please be patient, as RFJ reads every tip we receive.

Please open your Line app to submit a tip. The number is +1 202 702 7843

Please open your Viber app to submit a tip. The number is +1 202 702 7843

Please visit our Tor-based tips-reporting channel at: he5dybnt7sr6cm32xt77pazmtm65flqy6irivtflruqfc5ep7eiodiad.onion

Wasilisha Kidokezi

Fanya Jukumu Lako - Dhamini Ulimwengu Salama Zaidi

Zipo njia nyingi kuwasilisha kidokezo.

Unaweza kuchagua kutoka majukwaa mengi na kuwasiliana nasi katika lugha nyingi.
Kuchakata taarifa yako kwa ufanisi, tunakuomba kusema taarifa zako kwa maneno mafupi na Dhahiri iwezekanavyo, kutoa jina lako, mahali uliko, na lugha unayopendelea, na kupakia faili zote husika kama vile picha, video, na hati kuunga mkono taarifa yako. Mwakilishi wa TKM atawasliana nawe hivi karibuni. Tafadhali uwe na Subira, kwa kuwa TKM husoma kila kidokezo tunachopokea.

Tafadhali fungua programu yako ya Line ili kuwasilisha kidokezo. Nambari hiyo ni +1 202 718 4649

Tafadhali fungua programu yako ya Viber ili kuwasilisha kidokezo. Nambari hiyo ni +1 202 718 4649

Tafadhali tembelea idhaa yetu ya kuripotia vidokezo inayotumia mfumo wa TOR katika: he5dybnt7sr6cm32xt77pazmtm65flqy6irivtflruqfc5ep7eiodiad.onion

Skip to content