Tovuti rasmi ya serikali ya Marekani

Abukar Ali Adan

Afrika - Chini ya Jangwa la Sahara

Tuzo

Up to $5 Million

Fanya jukumu lako.

Kuhusu

Adan ndiye naibu kiongozi wa al-Shabaab. Alitumia miaka kadhaa kama mkuu wa kijeshi wa al-Shabaab baada ya hapo awali kuliongoza Jabhat, tawi la kijeshi la al-Shabaab.

Mnamo Januari 2018, Idara ya Jimbo ilimteua Abukar Ali Adan kama Gaidi Aliyeteuliwa Maalumu wa Ulimwenguni (SDGT) chini ya Amri ya Utendaji (E.O.) 13224 ambayo inaweka vikwazo vikali kwa watu wa kigeni wanaodhamiria kutenda, au kuhatarisha sana kutenda, vitendo vya ugaidi vinavyotishia usalama wa raia wa Marekani au usalama wa taifa, sera ya kigeni, au uchumi wa Marekani. Pia ameorodheshwa chini ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa kwa mujibu wa azimio namba 1844 la Umoja wa Mataifa (2008) kwa kujihusisha au kutoa msaada kwa vitendo vinavyotishia amani, usalama au utulivu wa Somalia na walinda amani. Kwa kuongezea, Adan inahusishwa na washirika wa al-Qaida, al-Qaida katika Rasi ya Arabia na al-Qaida katika Maghreb ya Kiislamu.

Mabango

Mahali Kunakohusiana:

Somalia

Mahali Kunakojulikana:

Somalia

Utaifa:

Somali

Jinsia:

Mwanamume

Lakabu/Tahajia Mbadala za Majina:

Abukar Ali Aden;Sheikh Abukar

SUBMIT A TIP

Do Your Part. Secure a Safer World.

There are many ways to submit information to Rewards for Justice.

You may choose from multiple platforms and contact us in numerous languages. To process your information efficiently, we ask you to state your information as succinctly as possible, provide your name, location, and preferred language, and upload all relevant files such as photographs, videos, and documents to support your information. An RFJ representative will soon contact you. Please be patient, as RFJ reads every tip we receive.

Please visit our Tor-based tips-reporting channel at: he5dybnt7sr6cm32xt77pazmtm65flqy6irivtflruqfc5ep7eiodiad.onion

Wasilisha Kidokezi

Fanya Jukumu Lako - Dhamini Ulimwengu Salama Zaidi

Zipo njia nyingi kuwasilisha kidokezo.

Unaweza kuchagua kutoka majukwaa mengi na kuwasiliana nasi katika lugha nyingi.
Kuchakata taarifa yako kwa ufanisi, tunakuomba kusema taarifa zako kwa maneno mafupi na Dhahiri iwezekanavyo, kutoa jina lako, mahali uliko, na lugha unayopendelea, na kupakia faili zote husika kama vile picha, video, na hati kuunga mkono taarifa yako. Mwakilishi wa TKM atawasliana nawe hivi karibuni. Tafadhali uwe na Subira, kwa kuwa TKM husoma kila kidokezo tunachopokea.

Tafadhali tembelea idhaa yetu ya kuripotia vidokezo inayotumia mfumo wa TOR katika: he5dybnt7sr6cm32xt77pazmtm65flqy6irivtflruqfc5ep7eiodiad.onion

Skip to content